Mwanamitindo wa kimataifa mwenye asili ya ki Tanzania Bi Miriam Odemba amekua akiitangaza tamaduni ya kimasai kwa namna yake. Miriam ame onekana mara nyingi akiwa ame vaa shanga za kimasai au shuka za kimasai katika matamasha tofauti tofauti.
Hii si mara ya kwanza kwa Odemba kuvaa Shanga na shuka za kimasai katika Paris Fashion Week.
Pia Odemba amekua akiweka picha zakekatika mitandao ya kijamii akiwa amevalia mavazi haya, kwa namna moja au nyingine hii ni njia nzuri ya kutangaza Tamaduni hii. Kwa sababu watu ambao wana mfollow Miriam si watanzania pekee kuna watu wa nchi mbali mbali na wenye tamaduni mbali mbali ambao wana mfollow Odemba hivyo basi pale anapo weka picha akiwa amevalia mavazi haya wengi huona na kutaka kujua zaidi
Beyond being just a model i feel so delighted to be able to promote and empower the handwork of Maasai women. Their precious jewellery can add a great deal to our personal style. #MiriamOdemba #odembastyle #odembamasaistyle #odembamasai #masailove #fashion #amazon #sainttropez #frenchriviera
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/habari/miriam-odemba-aitangaza-masai-culture-kwa-namna-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/miriam-odemba-aitangaza-masai-culture-kwa-namna-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/miriam-odemba-aitangaza-masai-culture-kwa-namna-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/miriam-odemba-aitangaza-masai-culture-kwa-namna-yake/ […]