Wapenda mitindo wote macho yetu yalikuwa katika mashindano ya miss universe jana, ambapo ukiachana tu na kutaka kujua nani ata shinda lakini pia sote tulikuwa tunaomba mrembo kutoka Nchini kwetu ashinde, kuna wale ambao maombi yao yalisikika na kuna wengine ambao walitoka kapa lakini all in all tume mpata Miss Universe na ni kutoka France (ufaransa)
Anaitwa Iris Mittenaere ana miaka 23 na ana somea udaktari wa meno (dental student), wakati mshindi wa tatu ame tokea Colombia, Andrea Tovar, wakati mshindi wa pili ame chukua Miss Haiti, Raquel Pélissier
na hii ndio Top 12 List
- Miss Kenya – Mary Esther Were
- Miss Indonesia – Kezia Warouw
- Miss USA – Deshuana Barber
- Miss Mexico – Kristal Silva
- Miss Peru – Valeria Piazza
- Miss Panama – Keity Drennan
- Miss Colombia – Andrea Tovar
- Miss Philippines – Maxine Medina
- Miss Canada – Siera Bearchell
- Miss Brazil – Raissa Santana
- Miss France – Iris Mittenaere
- Miss Haiti – Raquel Pelissier
- Miss Thailand – Chalita Suansane (Fan Vote Winner)
Top 9 List
- Miss USA – Deshuana Barber
- Miss Thailand – Chalita Suansane
- Miss France – Iris Mittenaere
- Miss Mexico – Kristal Silva
- Miss Kenya – Mary Esther Were
- Miss Colombia – Andrea Tovar
- Miss Canada – Siera Bearchell
- Miss Haiti – Raquel Pelissier
- Miss Philippines – Maxine Medina
Top 6 List
- Miss France – Iris Mittenaere
- Miss Kenya – Mary Esther Were
- Miss Colombia – Andrea Tovar
- Miss Philippines – Maxine Medina
- Miss Thailand – Chalita Suansane
- Miss Haiti – Raquel Pelissier
Top 3 List
- Miss Colombia
- Miss France
- Miss Haiti
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-france-ameshinda-miss-universe-20162017/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-france-ameshinda-miss-universe-20162017/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-france-ameshinda-miss-universe-20162017/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-france-ameshinda-miss-universe-20162017/ […]