Nancy Abraham Sumari (29) ambae alikua miss Tanzania 2005 na kushiriki miss world mwaka huohuo na kuingia top 6 achumbiwa na mpenzi wake/baba watoto Luca.
Wawili hawa wamekua katika mahusiano kwa muda mrefu sasa na kwapamoja wana mtoto aitwaye zuri.
katika kurasa zao za Instagram wawili hawa wameuthibitishia ulimwengu kwamba wame piga hatua nyingine katika uhusiano wao baada ya Luca kumchumbia Nancy
Hongera Nancy na Luca
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 59014 more Information on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-2005-achumbiwa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-2005-achumbiwa/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-2005-achumbiwa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-2005-achumbiwa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-2005-achumbiwa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-2005-achumbiwa/ […]