SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS TANZANIA AKABIDHIWA ZAWADI YAKE
Habari

MISS TANZANIA AKABIDHIWA ZAWADI YAKE 

Miss Tanzania 2016/2017 Diana Flave amekabidhiwa zawadi yake ya gari leo baada ya kuisubiri kwa muda mrefu, sisi tunaiita throw back zawadi maana ingekuwa zawadi kama walichukua muda mrefu kumpatia kikaja kitu cha kueleweka.

Bahati inaonekana haiko sambamba na Miss huyu au labda kamati ya Miss Tanzania imekuwa tia maji tia maji maana hili gari linaonekana la zamani na hizi sticker za ma sponsor zimekuwa too much kama gari la matangazo, Diana atatembea vipi na hili gari this is too much kamati ya Miss Tanzania hiki ni nini? hili shindano linaelekea kufa? kama Diana alihaidiwa IST kaja kupata hii gari huyo wa mwakani si mtahaidi suzuki mkaja kumpa bajaji au boda boda?

waswahili wana sema bora hamsini nzima kuliko mia mbovu this is a shame.

haya ni maoni ya Zamaradi Mketema She said it all

Jamani hili Gari kabla ya kuanza kuona MISS TANZANIA 2016 unaanza kuona ZoaZoa na hizo product nyingine Nahisi hii Branding imekuwa too much jamani sidhani kama ni sawa kwake, kumbuka kagari kenyewe ni kadogo mno halafu kanajazwa matangazo kila sehemu mastika hadi kwenye vioo, mwisho atashindwa kuona mbele sasa, not Fair Kwa waandaji, kwa mwaka huu unaofata tunategemea zawadi zenye HESHIMA kulingana na HADHI YA SHINDANO, hata hizi kejeli zinazoendelea juu ya mrembo wetu mara nyingine zimesababishwa na uendeshaji mzima wa Tukio matokeo yake inaonekana kama ni kitu cha kuchekesha badala ya kubeba hadhi iliyokusudiwa Nafasi bado ipo, tusilishushe hadhi katika kiwango hiki, Naamini hata ZAWADI inajenga hadhi ya shindano, kutoka kwenye MAGARI YA GHARAMA/NYUMBA tena kwa miaka ya nyuma mpaka kwenye hiko kiswift jamani kama hajabeba taji la taifa Tena zawadi yenyewe anaipata jasho limeshamtoka, kiukweli sidhani kama ni sawa Nisameheni kama nitakuwa nimekosea ila nimeshindwa kukaa kimya aisee.

Related posts

1 Comment

  1. เครื่องกรองน้ำโคเวย์

    … [Trackback]

    […] Here you can find 68980 additional Information on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-akabidhiwa-zawadi-yake/ […]

Leave a Reply