SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS TANZANIA PROFILE KATIKA MISS WORLD
Habari

MISS TANZANIA PROFILE KATIKA MISS WORLD 

Maandalizi ya Miss World yamesha anza washiriki wote wamesha wekwa katika website ya Miss World, katika washiriki wote yupo pia bi Diana Lukumai ambae ni miss Tanzania 2016/2017 unaweza kubofya hapa kuona profile yake,

Jamani nini kimetokea? seriously what happened? Miss wetu yupo kawaida mno hajapewa effort yoyote while styling her, we wish hata ange piga hizi picture na nguo zake za kimasai tujue moja, mara ya kwanza naiona hii picture na make up yake nika dhani aah labda ana jaribu kutoa pictures ambazo anaonekana vizuri kidogo si kama zile za mwanzo watu walizo kuwa wakizisambaza lakini kumbe ndio her official pictures katika miss world

miss tz

haya ni maoni yetu, hatujui kuhusu nyie ila hizi picture Diana hakuwa styled kabisa si kama za Lilian Kamazima mwaka jana, Diana yupo kawaida sana hio black dress una weza kuipata kariakoo ina maanisha hakuna mbunifu aliye buni hapo pia make up yake, yule mshindi namba 3 Grace Malikita ni make up artist mzuri nadhani ange mpa msaada Diana ange pendeza mno.

Ukiangalia pictures za washiriki wengine kutoka Nchi mbali mbali za Africa na Ulaya utagundua hata kama wame kuwa styled simple ila wana eleweka una weza kuwaangalia mara mbili nadhani hii pia ime tokana na waandaji wa Miss Tanzania Kuto muandaa Diana Kama ambavyo mwenyewe ali lalamika

Miss World Ghana kavaa kitenge tu lakini kapendeza na make up yake

ghana

 

Miss Kenya kenya

Miss World Nigeria ni Fierce angalia make up na jinsi ambavyo ana pose nigeria

Miss World Uganda simple mno lakini at least kuliko Tanzania, uganda

Tuambie yapi maoni yako kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

Related posts