Sylvia Bebwa, Miss Tanzania 2019 ambae alituwakilisha katika mashindano ya Miss World 2019, yaliyo fanyika mjini London 14/12/2019 ametumia mitandao yake ya kijamii kuzungumza haya baada ya mashindano hayo kuisha.

Sylvia alifanikiwa kuingia katika top 20 za Miss World talent, hakufanikiwa kuingia katika top 40 ya mashidano hayo

Comments

comments