SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS TANZANIA V MISS KENYA BEAUTY WITH PURPOSE SAGA
Habari

MISS TANZANIA V MISS KENYA BEAUTY WITH PURPOSE SAGA 

Hatudhani kama mtakuwa mme sahau ila si mbaya tukiwakumbusha, mwaka jana mwishoni Diana Miss Tanzania 2016/2017 alienda kushindania Miss World lakini katika miss world kuna vipengele tofauti tofauti kikiwepo cha beauty with purpose ambapo miss ana present idea yake ya ataifanyia nini jamii na itakayo shinda ina fanyiwa implementation na kamati ya Miss World.

Miss Tanania Diana Flae alienda na masai dondosha wembe ya kuzuia ukeketaji na ikaingia adi 24 bora baadae ikaja kutolewa kwa maelezo ya Diana Miss Kenya ali claim na yeye alifanya kitu hiko hiko, well Kenya ikashinda bwana. Diana akalalamika wee lakini ikawa sio kesi but GUESS WHAT? Kenya sio tu wali sema wame fanya idea hiyo hiyo bali pia wame chukua some of scene zilizopo kwenye documentary ya Diana, like seriously? Kenya why now? ime shindikana kabisa nyie kuwa creative mpaka mkachukue kitu vile vile kilivyo?

Diana Rukumay alichukua muda na kuandika yafuatayo katika ukurasa wake wa Instgram “Ama hakika mwisho wa Ubaya huwa ni aibu inakuwaje nakuta footage zangu kwenye Documentary yangu nazikuta zimewekwa kwenye hiyo Documentary bofya link kwenye Bio yangu angalia mwanzo mpaka mwisho,na kisha ingia youtube tafuta documentary yangu kwa jina la Diana Edward angalia mwanzo mpaka mwisho Kisha linganisha. Mara ya kwanza yakwangu ilikuwa published tarehe 18 October 2016 na ikarudiwa tarehe 24 November 2016 na hiyo nyingine yenye materials zangu imekuwa published tarehe 31 January 2017.

Ni matumaini yetu kuna maelezo yaliyo kamilika juu ya hili.

Tuambie maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts

4 Comments

 1. Changa DMT For Sale Sydney

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-v-miss-kenya-beauty-with-purpose-saga/ […]

 2. find

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-v-miss-kenya-beauty-with-purpose-saga/ […]

 3. แทงหวย

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-v-miss-kenya-beauty-with-purpose-saga/ […]

 4. https://www.kirklandreporter.com/reviews/phenq-reviews-fake-or-legit-what-do-customers-say-important-warning-before-buy/

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-v-miss-kenya-beauty-with-purpose-saga/ […]

Leave a Reply