SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS TANZANIA VS MISS UNIVERSE LIPI JEMA?
Habari

MISS TANZANIA VS MISS UNIVERSE LIPI JEMA? 

Ime kuwa muda kidogo watu wakiwa wana lisifia shindano la Miss Universe kwamba wana jipanga vyema na wanatoa warembo wenye kujielewa. Tumeona watu kama Miriam Odemba, Flaviana Matata na wengine wengi wakiwa wame tokea katika shindano hilo waka fanya vizuri na pia kuendelea kufanya vizuri katika industry ya urembo. Tofauti na Miss Tanzania ambao wengi wao wanaishia kupata umaarufu na kupotea japo si wote tumeona watu kama Nancy Sumari, Hapiness Magesse na wengineo pia wakifanya vizuri lakini hivi karibuni tulikaa na kujiuliza,

Kwanini Miss Universe iwe ina sifika na kutoa warembo sio kama Miss Tanzania? Kunani Miss Universe?

14268966_324243437919717_1356529997_n

 

 

tukaja kugundua kwamba ukiachana na kuwa wana waandaa washiriki wao lakini pia miss Universe huchukua wale wanamitindo chipukizi na kuwa shindanisha ndipo wana pata mmoja ambae atakwenda kuiwakilisha Nchi katika mashindano ya Miss Universe ya kimataifa. Kivipi? Mshindi wa mwaka jana Miss Lorraine Marriot kabla ya kuwa Miss Universe pia alikuwa model lakini pia mshindi wa mwaka huu vivyo hivyo, pia kama tuna kumbu kumbu nzuri pia Nelly Kamwelu alikuwa amesha panda kwenye majukwaa mengi kama mwanamitindo kabla ya kuwa miss Universe wengine wana sema Miss Universe haiko Fair sababu kuna wasichana wengi ambao si wanamitindo na wana weza kutushirikisha vizuri, lakini wengine husema wana fanya vizuri maana wengi wao wanakuwa wana jielewa na kuendelea vizuri.

14624712_1851500391801919_1486444170615717888_n

Miss Tanzania wao huwa wana tafuta wasichana kuanzia chini vitongojini uwe ulikuwa mwanamitindo au lah wana kuchukua hii ina wapa fura wale wasichana wasio julikana kupata kutimiza ndoto zao japo wengi huishia kuwa maarufu tu. Lakini LIPI JEMA? KUTOA FURSA KWA WASIO JULIKANA AU KUWAPA WANAO JIWEZA NA KUENDELEZA HILI GURUDUMU VIZURI? Je Miss Tanzania waanze kufuata nyayo za Miss Universe labda sasa tutapata watu wanao jielewa?

tuambie kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

 

Related posts