SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS TANZANIA VS MISS UNIVERSE TANZANIA
Habari

MISS TANZANIA VS MISS UNIVERSE TANZANIA 

Lorraine Mariott Miss Universe Tanzania 2015 ambae yupo Las Vegas kushiriki katika mashindano ya Miss Universe Wolrd wakati Lilian Kamazima Ni Miss Tanzania 2015 ambae yupo china kushiriki katika Miss World 2015. Mashindano yote ni makubwa si madogo lakini kwa Tanzania, Miss Tanzania ni shindano kubwa zaidi na linalo pewa kipaumbele cha kushangaza na kustaabisha Miss universe wameonekana kujianda vizuri zaidi kuliko Miss Tanzania, tukianzia na mavazi Lorraine ana vaa vizuri zaidi kuliko Lily hatusemi Lily hapendezi La hasha lakini sio kama Lorraine, Make Up, Nywele ni vitu tofauti kabisa kwa wawili hawa.  Support katika mitandaoni Miss universe wamefungua account zao nyingi ambazo zina msupport Lorraine ni tofauti na Miss Tanzania kabisa ni kama kila kitu ana fanya mwenyewe Lilian. Tofauti na Expectations zetu mwaka huu tulitegemea kutakua na tofauti katika mashindano ya Miss Tanzania kwenda huko Miss World lakini yamejirudia yale yale ya siku zote. Tulitegemea mambo yatabadilika hasa kutokana na kubadilishwa kwa viongozi katika kamati ya Miss Tanzania lakini hamna kitu. Miss universe wametafuta hadi accessories kutoka kwa wabunifu wadogo tofauti upande wa miss Tanzania Lily yupo plain kabisa, kamati ya Miss Tanzania kaeni na Maria mjifunze kutoka kwake ana fanya kazi nzuri kwa kweli, Kamati ya Miss Tanzania you reall need to step up your game.IMG_20151211_070618

Lorraine

LILY

Lilian

LILY2

Lilian Casual look

a40b4cb1-4f98-4eb5-92cc-32fbb4d7ef3b

 

Lorraine casual Look

photographer_uploaded_1_79_0_1449785611_2015

Lorraine Photo Shoot

 

LILY4

Lilian Photoshoot

LORRAINE1

Lorraine

LILY5

Lilian

 

 

 

 

Related posts

1 Comment

  1. our website

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-tanzania-vs-miss-universe-tanzania/ […]

Leave a Reply