SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS UNIVERSE INDONESIA NA HEKA HEKA ZAKE KATIKA MISS UNIVERSE WORLD
Habari

MISS UNIVERSE INDONESIA NA HEKA HEKA ZAKE KATIKA MISS UNIVERSE WORLD 

Tukiwa tunaelekea katika kumpata Miss Universe World 2016/2017 ambapo mashinda haya yana fanyika MANILA,PHILIPPINES kuna hii habari iliyo shika masikio yetu kidogo. Tukiwa katika pita pita zetu za kila siku katika mitandao ya kijamii leo tuliamua kutembelea page za miss universe kwa maana ndio kubwa linalo endelea kwa sasa katika ulimwengu wa mitindo, katika hizo pita pita tuka kutana na hii page inayo itwa missunnews na ambayo ina followers 34.9k kwa page za miss universe katika mitandao hii kidogo ina wafuasi wengi, hatuji kama ni official page au lah lakini ina jitahidi kutupa habari zinazo enendelea huko. Kilicho tushtua ni wao kupost picha ya Miss Universe Indonesia bibi Kezia Warouw na kuandika maneno ya chuki, tukawaza “kwanini waandike hivi wakati mashindano bado yana endelea si wata mkosesha mwenzao ushindi” na hili lika tufanya tu dig deep

Page hio iliandika “Why is #MissIndonesia trying to be black? I’m sorry but I don’t like it and I think it’s actually disrespectful. She’s one of my favorites but I’m disappointed #MU #MissUniverse #MU2016 #MissUniverse2016 #MU2017 #MissUniverse2017″

wakiwa na maana kwanini Miss Indonesia ana jaribu kuwa mweusi? Samahani lakini sijapenda na nadhani ni dharau/kushusha heshima. ni moja ya niwapendao lakini nimekata tamaa” hili lika tufanya tusome comments za watu je ni kweli Kezia Warouw ame fanya hiko kitu? na kama ni kweli kwanini? na hizi ndizo baadhi ya comments kutoka kwa watu ambapo wenye Miss wao wana sema wao wame furahishwa na transformation yake wakati wengine wakisema hapana huyu Miss ni attention seeker na kwamba kabla ya kuondoka kwenda Manila alisema anataka ku-ton ngozi yake ili aonekane wa tofauti katika mashindano hayo

hizi nndizo picha  za miss huyo kabla na baada

baada japo wengine wana sema ni make up ndiyo ina mfifisha lakini make up hadi mgongoni? we doubt

Je yapi maoni yako? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts

5 Comments

 1. รับทำเสื้อโปโล เสื้อยืด

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-indonesia-na-heka-heka-zake-katika-miss-universe-world/ […]

 2. 방콕밤문화

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-indonesia-na-heka-heka-zake-katika-miss-universe-world/ […]

 3. แทงหวย

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-indonesia-na-heka-heka-zake-katika-miss-universe-world/ […]

 4. you could look here

  … [Trackback]

  […] Here you will find 58510 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-indonesia-na-heka-heka-zake-katika-miss-universe-world/ […]

 5. สมัคร lsm99

  … [Trackback]

  […] There you will find 36315 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-indonesia-na-heka-heka-zake-katika-miss-universe-world/ […]

Leave a Reply