SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS UNIVERSE KUMILIKIWA NA WME/IMG
Habari

MISS UNIVERSE KUMILIKIWA NA WME/IMG 

Mashindano ya maarufu ya urembo duniani -Miss Universe- sasa yatakuwa chini ya kampuni ya kusaka kuendeleza vipaji na masoko ijulikanayo kwa jina la WME/IMG.

unnamed (29)

Awali mashindano hayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirika baina ya kampuni hiyo na kampuni inayojishughulisha na masuala ya habari na burudani ya NBC Universal na mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni, mwanasiasa na mfanyabiashara, Donald J Trump.

Akizungumza Mwandaaji wa mashindano ya Miss Universe Tanzania, Maria Sarungi Tsehai ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Compass Communications alisema kuwa wamepokea mabadiliko hayo na wataendelea kufanyakazi na mmiliki huyo mpya ili kuendeleza vipaji vya wasichana nchini.

Alisema kuwa mashindano ya Miss Universe ni moja kati ya matukio makubwa ya burudani duniani ambayo usaidia wasichana kutoka nchi zaidi ya 190 zinazoshiriki kila mwaka na watu zaidi ya nusu bilioni kufuatilia mashindano hayo kwa njia mbalimbali ikiwemo mitandao na televisheni.

Afisa Mkuu wa kampuni ya WME/IMG, Mark Shapiro ameahidi kuyaendeleza mashindano hayo kufika ngazi ya juu kabisa na kuhakikisha umaarufu wake unaongezeka.

Baadhi ya warembo walio pita Miss Universe

86ab107f-ffe3-4c08-9c9e-9e075e8ac433HiRes

 Flaviana Matata  Miss Universe 2007

 

316866_194995710565634_158380847560454_483257_2972247_n

Miss Universe Tanzania 2011, Nelly Kamwelu

maxresdefault

Miss Universe 2014 – Nale Boniface

Related posts

4 Comments

  1. additional reading

    … [Trackback]

    […] Here you can find 94291 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-kumilikiwa-na-wmeimg/ […]

  2. Gelato 33 1.5g High Roller Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-kumilikiwa-na-wmeimg/ […]

  3. แทงบอล ufabet

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-kumilikiwa-na-wmeimg/ […]

  4. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-kumilikiwa-na-wmeimg/ […]

Leave a Reply