SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS UNIVERSE TANZANIA (2010) ATABIRIWA KUWA MILLIONEA NA FORBES
Habari

MISS UNIVERSE TANZANIA (2010) ATABIRIWA KUWA MILLIONEA NA FORBES 

Miss Universe Tanzania 2010, Hellen Dausen ambaye pia ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa Nuya’s Essence pamoja Edwin Bruno wametajwa katika jarida la Forbes Afrika kama wajasiriamali wenye umri wa chini ya miaka 30, wanaopewa kipaumbele kuwa mabilionea siku za usoni.

Miss Tanzania Hellen Dausen poses for the judges in an evening gown of her choice during the 2010 Miss Universe Presentation Show at Mandalay Bay Event Center in Las Vegas, Nevada August 19, 2010. The Miss Universe 2010 competition will be aired live on August 23, 2010. REUTERS/Miss Universe Organization/Darren Decker/Handout (UNITED STATES - Tags: ENTERTAINMENT FASHION) FOR EDITORIAL USE ONLY. NOT FOR SALE FOR MARKETING OR ADVERTISING CAMPAIGNS

Kila mwaka jarida hilo hutoa orodha ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 30, wajasiriamali ambao wana nafasi ya kuwa mabilionea hapo baadaye.

Hellen na kampuni yake ya Nuya hutengeneza bidhaa za ngozi na vipodozi.

Bruno ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Smart-code inayotoa huduma ya usomaji wa magazeti kwa njia ya mtandao.

Majina ya wajasiriamali hao yalikusanywa na kuandaliwa na mhariri wa Forbes Afrika Ancillar Mangena ambaye naye ana umri chini ya miaka 30.

Related posts

Leave a Reply