SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MISS UNIVERSE TANZANIA YATOA WITO KWA WASHIRIKI
Habari

MISS UNIVERSE TANZANIA YATOA WITO KWA WASHIRIKI 

Lile Shindano kubwa linalo fanyika kila mwaka liitwalo Miss Universe Tanzania, ambapo kwa mara ya kwanza lilianza mwaka 2007 na ushindi alichukua Bi. Flaviana matatana ambalo  limetoa wana mitindo wengi ambao wana ipa heshima Tanzania kutokana na kazi zao nzuri kama Miriam Odemba, Flaviana Matata, Nelly Kamwelu na wengine wengi limerudi tena mwaka huu na kutoa wito kwa wanao taka kushiriki.

missuniverse

Shindano hili limetoa wito kwa wote wanaotaka kushiriki kutuma maombi yao kwa kutuma picha na namba zao za simu kwenda email: info@missuniversetanzania.com

missuniverse2

kama una vigezo na unajua unaweza una subiri nini?

Related posts

4 Comments

 1. สมัคร LSM99

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-tanzania-yatoa-wito-kwa-washiriki/ […]

 2. https://www.postandcourier.com/sponsored/phenq-reviews-does-this-diet-pill-actually-work/article_1cdbfb1a-395f-11ee-9d97-33c51303c959.html

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-tanzania-yatoa-wito-kwa-washiriki/ […]

 3. stapelstein

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-tanzania-yatoa-wito-kwa-washiriki/ […]

 4. hair extensions technician southgate

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/miss-universe-tanzania-yatoa-wito-kwa-washiriki/ […]

Leave a Reply