SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITINDO ILIYO TREND RED CARPET SAG AWARDS 2016
Habari

MITINDO ILIYO TREND RED CARPET SAG AWARDS 2016 

SAG Awards (  Screen Actors Guild Awards ) hufanyika kila mwaka na mwaka huu zimetimiza miaka 22 (ishirini na mbili) najua tunajua ukisikia Tuzo maana yake nini, Viwalo na kupendeza na hivi ni mwanzo wa mwaka basi kila mtu hutupia jicho lake hapo basi na hivi viwalo ndivyo vilivyo onekana mara nyingi katika tuzo hizo.

MINGARO

Tunajua usiku ndo wakati mzuri wa kuvaa zile nguo zako za kung’aa maana utawaka ukumbi mzima utaonekana wewe. walio vaa hivyo ni kutoka kushoto Julianne Moore (Givenchy Haute Couture), Alicia Vikander Louis Vuitton), Nicole Kidman  Gucci) na Queen Latifah  custom Michael Costello).

julianne-moore

SHINGO NDEFU NA MIKONO MIFUPI,

Hii imekuwa Inspired na T-shirt ambapo wameileta kwenYe gauni na imependeza kiukweli vazi hili lime valiwa na Naomi Watts  Burberry), Rachel McAdams ( Elie Saab) na Anna Faris (Naeem Khan).

naomi-watts

PINK YA KUIVA

Tunajua pink ndo rangi ya mwaka na wanawake wengi hupenda rangi hii basi hawa wamethibitisha hilo kutoka kushoto Sofia Vergara (Vera Wang), Emilia Clarke (Dior Haute Couture) na Diane Guerrero.

sofia-vergara

MIPASUO MIREFU YA PEMBENI

Imeingia sana hii na tunadhani itakaa muda mrefu imeonekana kwa Angelina Jo-Leg,” ana Brie Larson (weAtelier Versace) na Laverne Cox (Atelier Prabal Gurung).

brie-larson

SHINGO NDEFU ZA V.

Kama unaamini una shingo nzuri na hujisikii kuvaa urembo kama cheni nakadhalika basi shingo ya V ndio chaguo lako Rooney Mara (Valentino Haute Couture), Claire Danes (Stella McCartney) na Eva Longoria.

rooney-mara

PRINTS.

Priyanka Chopra (Monique Lhuillier), Ellie Kemper, Rachel McAdams (Elie Saab) NA Annie Pariss.

ellie-kemper

Related posts

4 Comments

  1. quality dope

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/mitindo-iliyo-trend-red-carpet-sag-awards-2016/ […]

  2. see this

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/mitindo-iliyo-trend-red-carpet-sag-awards-2016/ […]

  3. serviços informática

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/mitindo-iliyo-trend-red-carpet-sag-awards-2016/ […]

  4. dihydrocodeine 30 mg nedir

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/mitindo-iliyo-trend-red-carpet-sag-awards-2016/ […]

Leave a Reply