SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MJUE ENARE MISS TANZANIA USA 2016/2017
Habari

MJUE ENARE MISS TANZANIA USA 2016/2017 

Queen Godwin au Enare ni m-Tanzania ambae kwa sasa ana ishi marekani, wakati yupo Tanzania alianza kama model akaja akawa mbunifu wa african accessories, lakini kwa sasa yupo marekani ame shiriki Miss USA Tanzania na ame shinda tupate kujua mawili matatu kutoka kwake

14063700_158943631209011_1209411051_n

Afroswagga: Tuambie zaidi kuhusu Enare ?

Enare: Just Stylish ni clothing line/ upcoming fashion brand inayojihusisha na utengenezaji wa clothes na accessories za aina mbalimbali kwa watu wenye styles na preferences tofauti kutoka simple hadi sophisphicated. Enare is inspired with simplicity for difference, colors and beauty.

Afroswagga : ulianza kama model, designer na sasa miss nini kime kufanya uhamie huku?

Enare: .Kama msichana ninayeamini katika opportunities, talents na imani kuwa uwezo wa kufanikiwa hauna mipaka nimejitrain kuamini ma kufata  kila nafasi ninayoipata ya kuonesha kile ninachoamini ninakiweza na kinaweza kunisaidia ktk kufikia malengo, niliamini ninaweza kurepresent nchi in diaspora na hii ni sababu ilipelekea kuingia ktk mashindano ya Miss Tanzania USA

13703127_1141743532580007_483260997_n

Afroswagga: Experience yako katika miss tanzania usa ni ipi?

Enare: Nimeweza kujifunza tofauti iliyopo kati ya pageant na fashion industry, nimejifunza kujiamini zaidi na kuwaza mbali zaidi ya mipaka, imenipa nafasi ya kukutana na watu mbalimbali ambao wana mitazamo tofauti iliyozidi kunijenga pia imenisaidia kuitangaza brand yangu na kuzidi kufanya watu kujua kipaji changu na kazi zangu

Afroswagga: nini tofauti uliyo iona kati ya Miss Tanzania ya Tanzania na Miss USA Tanzania?

Enare: Tofauti na Miss Tanzania inayopromote sana urembo, Miss Tanzania Usa inapromote zaidi malengo ya kuisaidia jamii ya kitanzania kila mrembo unapewa nafasi ya kuonesha malengo yako na jinsi ya kuyafikisha ktk kusaidia jamii ya kitanzania na unapewa muda wa mwaka mzima uliokua nao kama mshindi kuhakikisha unafanyia kazi na kuimplement platform ulioichagua utaifanyia kazi

Related posts

2 Comments

  1. slot88 gacor

    … [Trackback]

    […] Here you will find 89355 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/mjue-enare-miss-tanzania-usa-20162017/ […]

  2. vigrxplus

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/mjue-enare-miss-tanzania-usa-20162017/ […]

Leave a Reply