Hassan Daxx Ally ana julikana kama Daxx Cruz mwanamitindo wa kiume kutoka Tanzania ambae kwa sasa ana fanyia kazi zake Nje ya Nchi, jana ame zindua clothing line yake. Kwa mujibu wa Daxx brand yake hio ita husika na nguo za kiume zenye lebo ya jina lake. Jana ame zindua socks hii ni step moja mbele kwa daxx tupende vya nyumbani tusivae tu nike socks bali tuna weza kuvaa socks kutoka kwa daxx pia
katika mtandao wa instagram daxx alipost picha hizi mbili na maelezo yake
That feelings when you launch your own clothing brand Feels So Good and thank you Lord for this.Its officially Launched and will be out in store Soon …Stay Tuneeeee! Am So excited to see a millions of people wearing my brand and stay in their life . Will be out Soon at @robbyonefashion for DarEsSalaam and Mwanza Rock City Mall ,Chief Classic Thank for having me,what amizing interview EXCLUSICE @cloudstv @storm.tv @lilianemasuka Dope pic by @reggie__1484 #DaxxCruzTouch #DaxxCruzWear #daxxcruzsocks #FreshAllDay #MediaTourLaunch #DarEsSalaam #Tanzânia @daxxcruzwear #MrFresh
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 24121 additional Info on that Topic: afroswagga.com/habari/mwanamitindo-daxx-cruz-azindua-clothing-line-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/habari/mwanamitindo-daxx-cruz-azindua-clothing-line-yake/ […]