SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mwanamitindo Wa Kimataifa Naomi Campbell Ameomba Kuwe Na Vogue Africa Edition
Habari

Mwanamitindo Wa Kimataifa Naomi Campbell Ameomba Kuwe Na Vogue Africa Edition 

Naomi Campbell ni moja kati ya wanamitindo wanao heshimiwa sana Duniani, kutokana na kazi yake na impact aliyoifanya katika Tasnia hii. Naomi yupo Nigeria kwa sasa kwa ajili ya Arise Fashion Week, Ni event ambayo ina shirikisha wabunifu 45 kutoka katika Nchi 14.

Akiwa Lagos Nigeria Naomi alifanya interview na kusema kwamba Gazeti kubwa la mitindo la Vogue inabidi wa launch gazeti lao na Africa pia, amesema

“There should be a Vogue Africa,” she told Reuters. We just had Vogue Arabia — it is the next progression. It has to be,” she said.Campbell was referring to the new edition of the magazine which launched in the Middle East last year. “Africa has never had the opportunity to be out there and their fabrics and their materials and their designs be accepted on the global platform… it shouldn’t be that way,” she went on.“People have come to realise it is not about the colour of your skin to define if you can do the job or not.”

kwetu sisi tunaona Yes tunahitaji Vogue Africa sikumoja, kuna Nchi Africa zinafanya vizuri katika mitindo kuanzia wasanii, models na wabunifu mbalimbali lakini Je sisi kama Tanzania ni moja kati ya Nchi za Africa tupo tayari kwa hili? Vogue likianzishwa tutakuwa able kuonekana kati ya wanaofanya vizuri?

Well with or without Naomi kusema Vogue ni wafanya biashara ofcourse kuna siku linaweza kuletwa Africa, lakini kabla halija fika tunahitaji kujiandaa unless otherwise tutaendelea kuona wenzetu wanavuka border na sisi tupo hapa hapa. Tanzania wanamitindo, wasanii na wabunifu wanaojielewa ni wachache bado tuna legalega na wengi hatupendi kuambiwa ukweli. Kwa mfano Vouge imeanzishwa Africa leo ni nani ambae unadhani anaweza kupewa kipaumbele na kuwekwa katika Gazeti hili? tuachie comment hapo chini.

 

 

 

Related posts

5 Comments

  1. 丸の内 ol レイナ エロ

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/mwanamitindo-wa-kimataifa-naomi-campbell-ameomba-kuwe-na-vogue-africa-edition/ […]

  2. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/habari/mwanamitindo-wa-kimataifa-naomi-campbell-ameomba-kuwe-na-vogue-africa-edition/ […]

  3. japanese type Beat

    japanese type Beat

    japanese type Beat

  4. ufabtb

    … [Trackback]

    […] There you can find 82533 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/mwanamitindo-wa-kimataifa-naomi-campbell-ameomba-kuwe-na-vogue-africa-edition/ […]

Comments are closed.