Miss wetu amesha fika Washngton Dc ambapo pata fanyika mashindano ya kumchagua Miss World mwaka huu tarehe 18 December katika ukumbi wa Gaylord National Resort & Convention Center,
Diana ame ingia katika 50 bora lakini hayupo katika 25 bora haijalishi kwa sababu kura zetu ndizo zitakazo muwezesha kufika huko cha kufanya ni
Jinsi ya kumchagua Diana Lukumai 1) Ingia google playstore/Appstores 2) Tafuta App ya Miss World 3) Pakua na weka katika simu yako pendwa 4)Fungua App 5) ukurasa wa kwanza ni nyumbani ambapo itakubidi kuchagua washiriki wako 3 6) Tafuta Tanzania/Diana Lukumai kisha mu-add katika orodha yako 7) Ongeza washiriki wako wengine 2 ili orodha ikamilike ambao unahisi hawana ushindani na Diana 8) Kitufe cha ku-vote kitatokea, kibofye na utakua umefanya uchaguzi kwa mshiriki wetu 9) Zoezi hili ni endelevu(Vote kila siku) mpaka jumapili tar 18 disemba,2016. PAMOJA TUNAWEZA KWAKUWA KURA YAKO INAWEZA NIWEKA KUMI BORA MOJA KWA MOJA.
Vote vote vote asirudi nyumbani mikono mitupu, #uzalendokwanza
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…