The Kardashian walianza kusikika baada ya umaarufu wa baba yao ambae alikua mwanasheria na mfanya biashara, baba yao alipata jina baada ya kumtetea/ kushikilia kesi ya aliye kuwa football running player, muigizaji na broadcaster O. J. Simpson mwaka 1995 lakini jina lilizidi kukua baada ya baba yao kufariki na mama yao kuolewa na Bruce Jenner ambae kwa sasa ni Caitlyn Jenner na reality television show yao ya keeping up with the Kardashian, kwa miaka mingi watu walikua wakisema kwamba Familia hii haina vipaji japo kuna wafanya biashara, models etc lakini bado watu walilalamika hii Familia haina vipaji na kwa hili ime bidi tujiulize je ni kweli hii familia haina vipaji ila ina tumia jina lao kufanya biashara zao
siku chache zilizo pita Destiney Bleu alimlalamikia Khloe Kardashian kwa ku copy biashara yake alisema Khloe alinunua kila kitu kwenye duka lake halafu akaja kuviuza tena kwake lakini Khloe ali fight back na kusema alikuwa inspired na fashion icons mbali mbali wa zamani
Juu ni Destiney Bleu’s body suits anazo lalamika Khloe ame mcopy na chini ni Good American bodysuits kutoka kwa Khloe Kardashian
Wakati mdogo wao wa mwisho akifanya vizuri na biashara yake ya cosmetics Kylie ameingia kwenye headlines kwa kusemekana nae ame copy ubunifu wa mtu mwingine katika colleection yake mpya Kylie ametoa hizi military cloth ambazo watu wameonekana kuzipenda lakini seems like kuna mtu mwignine ambae alishatoa hii collection
Well hizi collection zote nne zina fanana na huko mitandao kuna fussy kwamba something fishy ina endelea kati ya The Kardashian na biashara zao ikumbukwe hii si mara ya kwanza kuwa accused kwa kuiba idea za watu lip stick za Kylie nazo ina semakana alicopy brand ya mtu well kuna vitu vipo simple sana do your research right na hata kama una copy jaribu kufanya chako kionekane cha tofauti kidogo.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/ni-kweli-the-kardashian-hawana-talent/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/ni-kweli-the-kardashian-hawana-talent/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/ni-kweli-the-kardashian-hawana-talent/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/ni-kweli-the-kardashian-hawana-talent/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/ni-kweli-the-kardashian-hawana-talent/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/ni-kweli-the-kardashian-hawana-talent/ […]