SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NI VIZURI KUWA NA DAWA ZINAZO FAA KWENYE NYWELE ZETU – LILIAN KAMAZIMA
Habari

NI VIZURI KUWA NA DAWA ZINAZO FAA KWENYE NYWELE ZETU – LILIAN KAMAZIMA 

Ni miss Tanzania mwaka 2014-2016 ambaye sasa amejikita katika utangazaji wa runinga kwenye kituo cha Runinga cha Eatv, ambapo anafanya kipindi cha Nirvana. Na kipindi hiki kinahusu maswala ya urembo na maisha kwa ujumla.

Mapema akizungumza na Afroswagga Online Magazine juu ya product mpya ya mafuta ya Aliyana ambayo yamezinduliwa hivi karibuni hapa nchini Tanzania, juu ya mtazamo na mapokeo yake ya product hii ya aliyana.

LILIANE

Lilian Kamazima hakusita kuiambia Afroswagga ambapo amesema “Kwakweli nimefurahishwa na hii product mpya ya nywele, Darling Group imeamua kuleta dawa ya nywele ya kihalisia ya kiafrika. Tunajua wanawake wengi wa kiafrika na wanaume wengi nywele zetu zina hali tofauti na wazungu so ni vizuri kuwa na dawa za nywele ambazo zinafaa katika nywele zetu”

story by BATRO15

Related posts

2 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/ni-vizuri-kuwa-na-dawa-zinazo-faa-kwenye-nywele-zetu-lilian-kamazima/ […]

  2. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/ni-vizuri-kuwa-na-dawa-zinazo-faa-kwenye-nywele-zetu-lilian-kamazima/ […]

Leave a Reply