Toka Rais mstaafu wa U.S Barack Obama aingie Ikulu kila mtu alikuwa akimsifia former first lady Michelle Obama kwa fashion sense zake, well Michelle is to blame maana alikua na bado ana slay hatari, labda ku slay kwake kukatufanya tumsahau mumewe na wakati akiwa katika mkutano na Apple’s Worldwide Developers Michelle alisema, Wakati yeye alikua ana vaa magauni mengi, Rais Barack Obama alikua anavaa tuxedo moja kwa miaka nane na hakuna aliye gundua.
Hii ndio speech ya Michelle Obama “This is the unfair thing — you talk about Fred Astaire and Ginger Rogers — no matter what we do, he puts on that same tux,” she said during her appearance.
“Now, people take pictures of the shoes I wear, the bracelets, the necklaces — they didn’t comment that for eight years he wore the same tux, same shoes.”
The former First Lady shared that Barack noted the double standards they were judged by, but added he quite enjoyed the difference.
“And he is proud of it too. He’s like, ‘Mmm, I’m ready. I’m ready in 10 minutes. How long did it take you?’ I’m like, ‘Get out of here’.”
the difference in fashion standards between men and women.
“I’ve worn the same suit on air for a year — except for a couple times because of the circumstance — to make a point,” he said at the time.
“I’m judged on my interviews, my appalling sense of humour — on how I do my job, basically. Whereas women are quiet often judged on what they’re wearing and how their hair is.”
Obama got us on this one
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/obama-alikua-anavaa-suit-moja-kwa-miaka-8-michelle-obama/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 84724 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/obama-alikua-anavaa-suit-moja-kwa-miaka-8-michelle-obama/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/obama-alikua-anavaa-suit-moja-kwa-miaka-8-michelle-obama/ […]