SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Pantone Wametangaza Rangi Ya Mwaka 2021
Habari

Pantone Wametangaza Rangi Ya Mwaka 2021 

Kila mwisho wa mwaka kampuni  ya Pantone inayodeal na global color trends yaani imejikita katika utafiti wa rangi katika tasnia ya fashion hutoa rangi ambayo ndio huitwa rangi ya mwaka.

Mwaka huu pantone wametaja rangi mbili kuwa rangi za mwaka 2021 ambapo rangi hizo ni PANTONE 17-5104 Ultimate Gray + PANTONE 13-0647 Illuminating Yellow, Yaani rangi ya kijivu na ya njano, Kwa mujibu wa pantone,

17-5104 Ultimate Gray ni rangi ya ndoa ambayo inayowasilisha ujumbe wa nguvu na matumaini ambayo ni ya kudumu na yenye kuinua.

Wakati PANTONE 13-0647 Illuminating Yellow imetajwa kuwa rangi yenye kufurahisha yenye kung’aa na vivacity, warming yellow shade imbued with solar power.

Tukinukuu kutoka katika post ya Pantone Instagram wamemalizia kwa kusema “These two independent colors that come together to create an aspirational color pairing, conjoining deeper feelings of thoughtfulness with the optimistic promise of a sunshine filled day”

Namna mbalimbali za ambavyo unaweza kutumia rangi hizi mbili pamoja kwenye mavazi

Decoration nyumbani

well mates tuambie ni rangi gani utaitumia katika ya hizi mbili

Related posts