Kampuni kubwa ya mavazi duniani iitwayo Zara ime shitakiwa na mwanamama mmoja baada ya kukuta panya alie kufa kashonewa katika nguo yake,
Cailey Fiesel alinunua magauni mawili kutoka katika duka la Spanish clothier’s Greenwich, Conn. store na kuyaning’iniza katika kabati baada ya kununua
Fiesel, 24,alivaa gauni lake jeusi mara ya kwanza na kwenda nalo kazini, hapo ndipo alipo anza kuhisi kuna kitu kina msumbua alipo tazama akakutana Na mguu wa panya aliye kufa katika gauni lake, mwenyewe anavyo sema ilibidi aende hospital aka check kama haja ambukizwa ugonjwa utokanao na wadudu walio kufa.
kwa upande wa Zara wana sema wana endelea kulifanyia ucunguzi swala hili “Zara USA has stringent health and safety standards, and we are committed to ensuring that all of our products meet these rigorous requirements,” a Zara spokesman also said.
I can imagine how shocked she was kama ni kweli. Well tujifunze kukagua vitu pale tunapo vinunua kabla ya kuvifikisha nyumbani.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…