Nini kimetokea ndicho ambacho watu wengi wame jiuliza jana baada ya miss universe kuisha, show ilienda sawa palitokea mtafaruku tu pale alipo tajwa mshindi ambae sio, Steve Harvey muigizaji na mchekeshaji ndio alikua host katika sherehe hio bahati mbaya akamtaja miss Ariadna Gutiérrez kutoka columbia ndio mshindi badala ya Pia Alonzo.
Pia Alonzo Wurtzbach ana miaka 26, ni actress pia ni model kutoka philipiness
Masikini akavishwa taji lakini baadae waka badilisha na kumtaja miss philipiness ambae hata hivyo kwa maoni ya wengi wanasema hakustahili. angalia video chini kijionea tukio zima
https://www.youtube.com/watch?v=Z9aRmmWX5XI
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 8858 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/pia-alonzo-kutoka-philipiness-atwaa-taji-la-miss-universe/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 26023 additional Info on that Topic: afroswagga.com/habari/pia-alonzo-kutoka-philipiness-atwaa-taji-la-miss-universe/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/pia-alonzo-kutoka-philipiness-atwaa-taji-la-miss-universe/ […]