SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

PIXEE FOX ATOA MBAVU SITA ILI KUPATA MUONEKANO WA CARTOON
Habari

PIXEE FOX ATOA MBAVU SITA ILI KUPATA MUONEKANO WA CARTOON 

Mwana mitindo Pixee Fox afanyiwa upasuaji wa kutoa mbavu sita ili kupata muonekano sexy kama wa cartoon iitwayo “jessica rabbit”,

jessica_rabbit_by_fto_sete-d2otydb

jessica rabbit cartoon

 

mwanamitindo huyu katumia £80,000 ili kupata mmuonekano huu lakini ana takiwa kuvaa corset muda wote ili viongo vyake vya ndani vikae sawa. Inaaminika ukivaa corset unapata muonekano sexy lakini pia inabana viongo vyako vya ndani.

1429538902-70eb7c1dbbdb2dd1e2e2afb66b13e586-1366x1245

 

Pixee Fox anatakiwa kuvaa hiyo corset ili viuongo vyake virudi katika hali yake ya kawaida kwa maana sasa hivi vime pungua.

muonekano wa Pixee Fox baada ya upasuaji

Barcroft-Pictures-Of-The-Year-2015 Pixee-Fox Pixee-Fox0

 

Related posts

1 Comment

  1. here are the findings

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/pixee-fox-atoa-mbavu-sita-ili-kupata-muonekano-wa-cartoon/ […]

Leave a Reply