Tuzo za 88th Annual Academy zime fanyika leo usiku, na hizi ndizo zilizo jiri katika Red Carpet
Mindy Kaling
Olivia Wilde amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Valentino Haute Couture
Muigizaji mwenye asili ya kihindi Priyanka Chopra akiwa amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Zuhair Murad
Kerry Washington
Reese Witherspoon amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Oscar de la Renta
Charlize Theron amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Dior
Jennifer Lawrence nae amevalia gauni kutoka Dior
Common katika suit nyeupe
Sofia Vergara
Tina Fey
Zuri Hall
Guliana Rancic na mumewe
Pharrell Williams na mkewe Helen
Kevin Hart na mchumba wake Eniko Parrish
Chrissy Teigen na John Legend
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 28598 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-88-academy-awards-on-oscars-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-88-academy-awards-on-oscars-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-88-academy-awards-on-oscars-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-88-academy-awards-on-oscars-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-88-academy-awards-on-oscars-2016/ […]