Weekend ilikuwa nzuri as kuna event mbali mbali zilikuwepo, kwa kuanza tunaanza na The 59th Grammys kwa maana ndiyo kubwa kuliko zote, kujua mastaa wapi na wapi walihudhuria na walitokelezeaje tazama hapo chini
Taraji P Henson mmmmh we are not feeling it not at all
Mya debuted red jumpsuit
Kriss Mincey Just wow , nywele,dress, make up on point
Kriss Jenner not the best of her ila si mbaya pia
Celine Dion didn’t came to play
Beyonce & Jay Z
Katty Perry ana majibu ya kujibu kuhusu ili vazi lake
J to the Lo
Lady Gaga Back on her old ways
Solange
Rihanna
paris Jackson
Guliana
Adele Slaying
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 6747 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 13571 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/red-carpet-the-59th-grammys/ […]