We must say Rihanna never stop’s to amuse us, well ana buni vitu vya namna yake ambavyo una weza sema nani atavaa ila to your suprise utasikia the collection is sold out (how does she do it) mie na wewe hatujui, jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Rihanna alionyesha collection yake mpya ya Fenty X Puma shoes, ambapo safari hii ame kuja na raba, slider na boots zenye heels.
mwaka jana ilikuwa Fur mwaka huu ni satin bowed slider na raba no kamba babe satin it up a bow, rangi zilizopo ni pink
we are so here for the slider & having mixed feelings na hizo raba, tuna subiri kuona jinsi fashionista’s watakavyo zi style. kuna hizi nazo zipoboots heels
na hizi 80’s raba ambazo Rihanna ana onekana anataka kuzirudisha on trend
na bei zake ni $90 (slider) TZS 198,000 NA $160 (sneaker.) TZS 352,000 zinapatikana katika website ya puma
Je utavaa? Tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 78761 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-fenty-puma-satin-bow-shoe-s-slider/ […]