Baada ya biashara zao za vipodozi yaani Fenty Beauty By Rihanna na KKW ya Kim Karadashian West sasa hivi Rihanna na Kim Kardashian wameamua kuangia katika biashara za nguo za ndani.
Kwa upande wa Kim Kardashian yeye atakua na line ya lingerie na shape wear, inavyosemekana Lingerie line hii itatoka kabla ya mwaka kuisha.
Kim Kardashian alitoa hint katika blog yake kwa kuandika “I wear two pairs that are the same length. I try not to layer two different lengths, because I don’t want there to be visible seams. I want there to always just be one seam.”
Wakati Rihanna yeye amesha confirm kwamba anakuja na Lingerie Line ambayo ameipajina Savage kupitia ukurasa wake wa instagram Rihanna amepost teaser ambayo iliandikwa didn’t they tell you? ambapo ni msemo unaomaliziwa kwa kusema “that i’m savage” lakini pia alipost video na ku caption
Well its the investment battle je wewe utanunua ya nani kati ya hawa wawili?
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 35256 more Info on that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-na-kim-kardashian-wameingia-katika-biashara-ya-nguo-za-ndani/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/rihanna-na-kim-kardashian-wameingia-katika-biashara-ya-nguo-za-ndani/ […]