Rihanna bado ana tengeneza hela kupitia bidhaa mbali mbali uko barani Ulaya, akiwa amesha fanya nao kazi mbili na hii ya tatu wana kuletea  collection mpya kutoka kwa  Rihanna na Kampuni ya Socks itwayo Stance ambayo itakua released kesho

Rihanna-Stance-Sock-Collection-700x466

katika hii collection kutakua na design 19 ambazo ni mchanganyiko wa tomboy na sexy doll socks, ikiwa kuvaa heels na socks ndo moja ya trend mjini lazima wadada wataipenda hii

angalia trailer ya collection hio chini

Comments

comments