SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rihanna’s Fenty x Puma SS17 Collection
Habari

Rihanna’s Fenty x Puma SS17 Collection 

Rihanna ame pata nafasi ya ku debute collection yake ambayo ame fanya callable na Puma Rihanna’s Fenty x Puma SS17 Collection katika paris fashion Week, Riri ame tumia sana pastel colors na floral colors seems like tuzitegemee hizi rangi mwakani.

Lakini hii collection inaonekana kama upgraded yeezy season 3, Rihanna ana takiwa kujua sio kila mtu ana damu yake kwamba ana weza kuvaa nguo yoyote aka pendeza anyways hii ndio Rihanna’s Fenty x Puma SS17 Collection

38E442E200000578-3812452-Triumphant_Rihanna_was_welcomed_into_the_elite_realms_of_high_fa-a-130_1475092979305

olive color guess this color ita hit sana 2017 unnamed-3-4

unnamed-6-3

unnamed-9-1

unnamed-10-1 unnamed-11-1

unnamed-12-1

unnamed-13-1

Related posts