kila Kama mna kumbukumbu mtakumbuka Rihanna alifanya watu wawe machizi na collection yake ya kwanza na Manolo kila mtu alikua ana crush na hizi denim boots. Tukaona watu mbali mbali wakiwa wamezivaa kama Jennifer Lopez na Kylie Jenner.
Collection yake ya pili ime toka na iko hot kama ile ya kwanza, kilicho tufuraisha katika collection hii ni ile sense ya man in woman, ngoja nielezee hivi viatu vime kuwa design inspired by timberland boots za kiume na collection ya viatu hivi ina itwa “savage”
The Alexis is a knee-length laceup with fur trim
collection hii ina viatu design tofauti tofauti kama Dominique, a thigh-high design featuring floral brocade
Rihanna x Manolo Blahnik Dominique.
Rihanna x Manolo Blahnik Fallon in suede ivory.
bei bado hazitajwa lakini tayari tupo inlove with the shoes.
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…