SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ROB KARDASHIAN NA BLACK CHYNA KUNANI?
Habari

ROB KARDASHIAN NA BLACK CHYNA KUNANI? 

Black Chyna ni mwanamitindo, video vixen ambae pia ni mfanya biashara mwenye kampuni yake inayo uza kope za bandia, Black Chyna alisha wahi kuingia kwenye ugomvi na familia ya Kardashian kisa Tyga ambae ni baba watoto wa Black Chyna aliye msaliti kwa kutembea na Kylie Jenner. Cha kushangaza au kushtua ni pale mwanamitindo huyu alipo post picha akiwa na mwanaume kitandani amemkumbatia, mkono wa mwanaume ambao una semekana kuwa ni wa Robert Kardashian kaka wa Kylie mmmh…. Kunanini kinaendelea?

chyna

Robert Kardashian ambae si mtu wa kupost sana kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii nae ame mpost Chyna je ni kweli ni wapenzi na kama ni kweli je mwanamitindo huyu ana lipiza kisasi?

rob

Kila lenye mwanzo huwa halikosi kuwa na mwisho kama wawili hawa ni wapenzi basi itajulikana kwani waswahili husema Penzi kikohozi kulificha huwezi na hata hivyo pia huwezi kuficha pembe la ng’ombe.

Related posts

1 Comment

  1. บ้านมือสอง

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/rob-kardashian-na-black-chyna-kunani/ […]

Leave a Reply