SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rose Manfere Miss Tanzania 2020
Habari

Rose Manfere Miss Tanzania 2020 

Usiku wa Dec 5, 2020 Tanzania ilifanikiwa kupata mlimbwende mpya ambae ataenda kutuwakilisha katika shindano la Miss World. Aliyekuwa mshiriki wa miss Tanzania, akiwakilisha  Kanda ya Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Rose Manfere (21) amefanikiwa kutwaa taji la miss Tanzania.

Rose ni mwanamitindo lakini pia ni mwanafunzi anaye somea information system management, aliwapita wenzie 19 ambao walikuwa wakishiriki shindano hilo.

Rose amezawadiwa gari aina ya  Toyota Subaru Impreza toleo la Mwaka 2011 lenye thamani ya Sh13 milioni. Nafasi ya pili imenyakuliwa na mrembo Juliana Rwehimiza ambae yeye amenyakua zawadi ya kiwanja na nafasi ya tatu akiibeba  Prisca lyimo ambae amepata zawadi ya amenyakua zawadi ya  seti ya sofa na meza ndogo ya sebuleni

Rose anatarajia kuliwakilisha Taifa katika mashindano ya miss world, mwakani.

Related posts

4 Comments

 1. one up thc gummies 600mg

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/rose-manfere-miss-tanzania-2020/ […]

 2. psychedelics mushroom kit usa

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/rose-manfere-miss-tanzania-2020/ […]

 3. Medicijnen bestellen zonder recept bij Benu apotheek vervanger gevestigd in Breda

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/rose-manfere-miss-tanzania-2020/ […]

 4. buy bergara guns

  … [Trackback]

  […] Here you can find 39151 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/rose-manfere-miss-tanzania-2020/ […]

Comments are closed.