SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Sam Zebedayo “Ni Kweli Hakuna Wabunifu Kuna Mafundi Cherehani”?
Habari

Sam Zebedayo “Ni Kweli Hakuna Wabunifu Kuna Mafundi Cherehani”? 

Kuna haya maswala mawili ambayo kwenye mitandao ya kijamii yamekuwa wakiongelewa sana kuhusu wabunifu wa hapa Nchini kwetu Tanzania, Ukiachana na watu kuliongelea hili swala hata sisi ma fashion blogger tulilona tukaliongelea lakini lawama zimekuwa kwa wabunifu na wao hawakupata au kupewa nafasi ya kujitetea na kujielezea upande wao,sisi Afroswagga tuliliona hili na kuamua kuwatafuta wabunifu kadhaa ili waweze kujibu shtuma au malalamiko haya na haya ni majibu yao kutoka kwa Samuel Zebedayo

Afroswagga: Samuel kume kuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kwamba kwa sasa Tanzania hamna wabunifu kuna mafundi cherehani lakini pia ina semekana kwamba wabunifu mna igiziana sana kaze zenu je ni kweli? na kama mbunifu hii ina kuathiri vipi

Samuel : Kwanza Ubunifu ni wigo mpana sana,Unaweza kuwa mbunifu, bila kujua kutumia cherahani ila huwezi kuwa fundi cherahani bill kuwa na ujuzi wa kutumia cherahani… Kitendo cha kusema hakuna wabunifu ni kejeli ya hali ya juu sana so naona kama ni ngumu kumuelewesha mtu asiyeelewa
Ila kwa ufupi tu, ni kwamba, kutokana na kukua kwa technolojia, dunia imekuwa kama kijiji so inakuwa vigumu sana kutambua mmiliki halali wa mtindo fulani… ila kusema ukweli, tanzania tuna wabunifu wengi na wazuri na mafundi cherahani walikuwepo tangu enzi…


2. Kuhusu kuigana kazi, sanaa ya mitindo ni lugha maalum kwa watu maalum… kuna vitu vinaitwa fashion trends ambazo huwa kama guidelines… so mitindo kufanana inatokea tu coz we mostly focus on what’s trending. Kitendo cha kusema wabunifu wanaigana ni opinion tu ya watu and we all know opinions are the lowest form of human understanding… so that’s it.

Majibu sasa tunayo na asante Samuel kwa kuchukua muda wako ku clarify hili swala

Related posts

4 Comments

 1. solitaire

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/sam-zebedayo-ni-kweli-hakuna-wabunifu-kuna-mafundi-cherehani/ […]

 2. browse around here

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/sam-zebedayo-ni-kweli-hakuna-wabunifu-kuna-mafundi-cherehani/ […]

 3. shop glock usa

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/sam-zebedayo-ni-kweli-hakuna-wabunifu-kuna-mafundi-cherehani/ […]

 4. go x

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/sam-zebedayo-ni-kweli-hakuna-wabunifu-kuna-mafundi-cherehani/ […]

Leave a Reply