Ikiwa ndio tuna elekea katika lile tamasha la sanaa fashion show, kabla hatuja fika huko tunapenda kuwa karibisha wapenda fashion wote katika style and fashion party kwa ajili ya ku launch sanaa fashion show, party hii itafanyika tarehe 10/9/2016 pale The Atriums Hotel iliyopo sinza africa sana kingilio ni shilingi 10,000. njoo upate kusikiliza mziki mzuri na kuangalia fashion show kutoka kwa wabunifu mbalimbali #sanaafashionshow_2016 Dress to inspire
kwa maelezo zaidi wasiliana na waandaji wa party (crownriverfame) hii kupitia
+255 (0) 719921919 au +255 (0) 621026335
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/sanaa-fashion-show-launching-party/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/sanaa-fashion-show-launching-party/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/sanaa-fashion-show-launching-party/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/sanaa-fashion-show-launching-party/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 41175 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/sanaa-fashion-show-launching-party/ […]