Sean Combs ni kampuni ya mavazi inayo milikiwa na Puff Daddy au P.Didy kampuni hio inayo kwenda kwa jina lake halisi (Sean John Combs) ilikua imezoeleka kwa ku buni na kutoa nguo za kiume, lakini kwa mara ya kwanza mwaka huu imekuja na collection ya wasichana ambapo Puff daddy ana sema collection hio imekuwa inspired na watoto wake wa kike Jessie, D’Lila, na  Chance..!

00-Sean-John-Launches-First-Girls-Collection

Puff daddy amesema My girls have been a continued inspiration in all that I do so it only made sense to create a collection with them in mind…I am beyond thrilled to work with my girls on this new endeavor and I look forward in watching them grow with this project. They are young ‘dreamers’ and will serve as an inspiration to girls everywhere.

7-Sean-John-Launches-First-Girls-Collection-700x497

mavazi hayo yatauzwa kuanzi $34-100 katika mtandao wa  Macys.com

5-Sean-John-Launches-First-Girls-Collection-700x465 6-Sean-John-Launches-First-Girls-Collection