Selena Williams si jina geni masikioni mwetu, Ni mchezaji mzuri wa tennis huko ulaya na amesha shinda katika mchezo huu mara kadha wa kadha
Serena pia si mgeni katika maswala ya mitindo na hilo tumeliona katika kazi kadhaa alizo zifanya na wabunifu kama HSN,countless magazine covers pia ameonekana mara mbili katika Vogue.
Kwa sasa Serena ataonekana katika gazeti la New York Fashion Magazine akiwa amevalia nguo kutoka kwa wabunifu Elizabeth na James
Ndani ya gazeti hilo Serena ameongelea kipaji chake, jinsi anavyo kabiliana na ubaguzi wa rangi, historia ya kazi yake na vingine vingi, lakini pia Serena amesema kati ya vitu ambavyo yeye na mdogo wake wameweza kukamilisha ni “tumeweza kuleta mitindo katika Tennis” amesema.
Ili kusoma mengi Zaidi pata nakala yako ya New York Magazine
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…