SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SHILOLE ATUMIA M12 KWA AJILI YA MAVAZI
Habari

SHILOLE ATUMIA M12 KWA AJILI YA MAVAZI 

 

Jana katika ukurasa wa mtandao wa kijamii Instagram page ya cloudsfmtz iliandika shilole atumia milioni 12 kwa ajili ya mavazi tu katika show ya fiesta na mwenyewe akadadavua kuhusu kauli yake hio

14241003_294307017607585_1829384977_n

#UpDates  Shilole atumia Mill. 12 kwa ajili ya mavazi tu ya shoo kubwa ya #Fiesta2016  #Shilole  ‘’Unajua huu ni mwaka wa tatu napafomu Fiesta naangalia tu kila mkoa natakiwa kuvaa kitu gani nilikuwa nafikiria cha kuvaa #FiestaTabora  ukizingatia ndio nyumbani kwetu lazima nitoke kitofauti, ninaye ‘designer’ wangu ‘specially’ Martin Kadinda, lakini pia huwa namwangalia sana msanii wa Kimataifa wa nchini Marekani, Nick Minaj anachovaa jukwaani namkopi,hadi sasa nimetumia mill. 12 kwa ajili ya mavazi tu hii ni maalum kwa #Fiesta2016 , ukija kwenye nywele Mill. 1, viatu laki 5’’. #Fiesta2016 SHILOLE

Na haya ni baadhi ya mavazi aliyo panda nayo katika show hizo za fiesta kwa mahesabu yako ya haraka haraka je ina fika kiasi hiko au mmmh

13768309_1576755935953413_987562406_n 14240687_1754848018108480_1531616776_n

14027256_513107995561225_1751148019_n

Related posts