Mtangazaji, Miss Tanzania na Model Nancy Sumari ame funga ndoa jana. Yeye na mumewe wame valishwa na wabunifu kutoka Tanzania Na Spain ambapo mume wa Nancy, Luca amevalishwa na mbunifu Martin Kadinda kutoka Tanzania wakati Nancy mwenyewe ame valishwa na mbunifu kutoka Spain ambae anaitwa pronovias
Nancy ame Rock natural hair na alikua na make up yake simple she looks gorgeous, Luca ame vaa black and white
Gauni aliyo vaa nancy ikiwa katika runway
bride maids walipendeza mno as mnajua Nancy ma bestie zake ni Jacqueline Mengi, faraja nyalandu, Nasreen Kareem na hao ndio walikua bride maids wake
Baada ya Ndoa Ukumbini bibi harusi ali change akavaa simple gown na fur shawl aka accessorize na studded head band
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/spain-na-tanzania-yakutana-katika-harusi-ya-nancy-na-luca/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/spain-na-tanzania-yakutana-katika-harusi-ya-nancy-na-luca/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/spain-na-tanzania-yakutana-katika-harusi-ya-nancy-na-luca/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 20978 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/spain-na-tanzania-yakutana-katika-harusi-ya-nancy-na-luca/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/spain-na-tanzania-yakutana-katika-harusi-ya-nancy-na-luca/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 98419 more Info on that Topic: afroswagga.com/habari/spain-na-tanzania-yakutana-katika-harusi-ya-nancy-na-luca/ […]