I’m Star & I’m Rich ni moja ya mstari uliopo katika wimbo wake mpya wa outside, katika video ya wimbo huu mwanamziki Harmonize ameonekana akiwa amevalia hii fake / inspired Gucci Logo suit. Kutokana na mistari yake hio tukaona twende deep deep tuone kama hii suit ni real Gucci, well tukaja kugundua ni fake, yaani ameimba yeye ni star na rich kisha amegonga kitu fake.
Sote tunajua brands kubwa huwa zinaaina ya fabric ambazo zina logo zao, unaweza kujua hii ni Gucci, Prada au Luis Vuitton kutokana na logo za brand hio, mara ya kwanza kuona hii suit kwa Harmonize moja kwa moja ikatujia pattern ya logo ya Gucci ambayo ina GG na vinukta nukta kama ya Harmonize kasoro tu ya Harmonize sio GG ni OO.
Well kama hii suit ingekuwa ni Original suit hizi huuzwa USD 3,980 Sawa na Tsh 9,161,960
Tupe maoni yako kuhusu swala zima la wasanii wetu kuvaa vitu fake.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 60223 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/star-rich-harmonize-spotted-wearing-fake-gucci-suit/ […]