SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

THE LEXUS SOUTH AFRICA MEN’S FASHION WEEK IN CAPE TOWN.
Habari

THE LEXUS SOUTH AFRICA MEN’S FASHION WEEK IN CAPE TOWN. 

Well tarehe 02 hadi 04 February nchini South Africa kulikuwa na maonesho ya mavazi ya wanaume ambapo madesigner karibia 35 kutoka Africa na nje ya Africa waliweza kuonyesha ubunifu wao mjini Cape Town. Macho yetu yalikodoa kkwa wabunifu waliotuvutia kwa kuweza kushowcase nguo zenye umaridadi na ubunifu wa hali ya juu. Twaweza sema this year wabunifu wengi waliweza onyesha some more colorful and colorful patterns zilizovutia.

Tunaanza na mbunifu toka South Africa aitwaye RichardMnisi @rich_mnisi ambapo alieleza kuwa collection yakealiyoiita “Xingelengele” akimaanisha kengele inspired na jinsi mtu ku-deal ama fanya maamuzi maishani ingawa kelele nyingi huwepo vichwani mwetu.


Then tunakuja kwa mbunifu toka Nigeria Mai Atafo@maiatafo ambaye anajulikana kwa his bespoke suitslakini aliweza kuja kivingine akiwa na collection YAKEiitwayo ME! Alieleza hupenda sana tuxedos hivyo katika collection hii aliweza kuzinakshi na kuzipa tuxedosmuonekano wa kitofauti na wakipekee kwa kutumia velvet, long jackets na patterns mbalimbali.
 mbunifu anayechipukia toka SouthAfrica @tsepo_t aliyedebute collection yake iitwayo‘Invalidite’ for Knives ambayo mikato iliyoonekana katika
nguo zake ilikuwa inspired na jinsi kisu chakata vitu.
Also mbunifu Rosey and Vintorri toka Cape Town @roseyandvintori alikonga nyoyo za wengi ambapocollection yake iliweza kutumia fabrics kama leather,velvet and pure cotton bringing to the world some verycasual street looks zenye patterns and colours za kuwaka.
Well wabunifu walikuwa wengi hivyo kuweza kujua na kujionea zaidi waweza tembelea ukurasa wa INTAGRAM
@samenswearweek
article by @willibard_jr

Related posts

3 Comments

 1. บาร์โฮส

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/the-lexus-south-africa-mens-fashion-week-in-cape-town/ […]

 2. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/the-lexus-south-africa-mens-fashion-week-in-cape-town/ […]

 3. imac repareren

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/the-lexus-south-africa-mens-fashion-week-in-cape-town/ […]

Leave a Reply