Ni siku ya kwanza ya New York Fashion Week na tayari tupo excited kuona nini kinakuja kutoka kwa wabunifu wengine baada ya hii collection ya Tom Ford. Tunaweza kusema Kudos kwa Tom Ford hii collection inavalika & amefikiria watu wa aina zote infarct ndio siku ya kwanza lakini tayari imeshakuwa kati ya favorite collection zetu, katika hii collection Tom Ford ana suits, denim, sequin dresses, kuna bright colors na neutral as we said hii collection ni ya kila mtu.
The long dresses zenye sharp shoulders na sequin hands
Double colored Sequin shift dress ambazo zinaweza kuvaliwa kama blouse
He made double denim easy kwa kubuni hizi denim suits
and the shoes are wow tuambie umependa ipi kati ya hizi?
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/tom-ford-debuted-spring-2018-ready-to-wear-on-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 45479 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/tom-ford-debuted-spring-2018-ready-to-wear-on-new-york-fashion-week/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/tom-ford-debuted-spring-2018-ready-to-wear-on-new-york-fashion-week/ […]