SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Toni-Ann Singh Kutoka Jamaica Atwaa Taji La Miss World 2019
Habari

Toni-Ann Singh Kutoka Jamaica Atwaa Taji La Miss World 2019 

Ana miaka 23 ni mwanafunzi lakini pia alikuwa na malengo ya kusomea medicine na kuwa daktari, lakini tarehe 14/12/2019, Toni-Ann Singh alifanikiwa kutwaa taji la Miss World 2019.

Toni-Ann aliweza kuvutia majaji kwa uwezo wake wa kuimba, ambapo aliimba wimbo wa Whitney Huston “I Have Nothing” lakini si hilo tu ni pamoja na uwezo wake wa kujibu maswali aliyoulizwa

Toni-Ann ni m-Jamaica wa nne kushinda Miss World toka shindano hili limeanza ikiwa sasa shindano hili lina miaka 69 tangia kuanza kwake.

Mashindano hayo yalishirikisha Nchi Mia moja kumi na moja huku yakiisha kwa washindi watatu wakiwa ni

•MissWorld2019  @toniannsingh kutoka Jamaica
• 1st runner-up ni @ophelymezinooff kutoka France
• 2nd runner-up ni @sumanratanrao Kutoka India

Kwa upande wa Africa, Nigeria, Kenya na Uganda walifanikiwa kuingia Top 40, wakati Ugada akiishia kwenye Top 40, Kenya alifanikiwa kuingia Top 12 wakati Nigeria alifika mpaka top 5

Related posts