Kwa mara ya kwanza mwana dada Tyra Banks ambae ni mwana mitindo na mfanya biashara mkubwa ameongea kuhusu tatizo lake la kukosa mtoto. Tyra amesema ame chelewa kupata mtoto kwa sababu ya kufanya kazi. Lakini kwa sasa ana tamani kujenga familia na mpenzi wake Eric Asla.
“Nilipo fikisha miaka 40, kitu kimoja ambacho kilikua kina ninyima furaha ni kutokuwa na mtoto” Trya ameliambia gazeti la People. “ nilisema muda unakwenda, toka nikiwa na miaka 24 nilikua nikisema nitapata mtoto miaka mitatu ijayo, nilikua nikisema hivyo mara kwa mara kila mwaka. Kwa saababu biashara zangu zina nihitaji sana, sija ajiliwa natakiwa kufanya kila kitu mwenyewe lakini nilikua nikijaribu kutafuta muda wa hiki kitu kutokea” haya nitafanya lakini si rahisi kukifanya wakati umri ume kwenda, nimekua sina furaha wakati mwingine sababu ya hii hali, si kitu ambacho kina tokea tu.”
“Natumaini nitapata watoto” amesema “ sitaki mtoto mmoja nataka wengi, na nina taka kuwa mama ambae watoto wangu watanifuata kuongea chochote” amemalizia
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/tyra-banks-atamani-kuwa-mama/ […]