SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Utovu Wa Nidhamu Wamponza Miss Tanzania Rose Manfere
Habari

Utovu Wa Nidhamu Wamponza Miss Tanzania Rose Manfere 

December 7, 2020 Tanzania ilimvika taji mrembo Rose Manfere kuwa Miss Tanzania 2020/2021 ambapo alitakiwa kutuwakilisha mwaka huu Puerto Rico katika Mashindano ya Dunia ( Miss World).

Lakini hivi karibuni Kamati Ya Miss Tanzania imetangaza kumvua taji mrembo huyu na kumpa uwakilishi mshindi wa pili Juliana Rugumisa ambae ataenda kutuwakilisha katika mashindano ya Miss World huko Nchini Puerto Rico.

Kamati ya Miss Tanzania imechukua hatua hii baada ya kugundua baadhi ya tabia za mrembo huyo ambazo zitakuwa kikwazo cha kufanya vizuri katika mashindano hayo.

Related posts

2 Comments

  1. ketamin kaufen

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/utovu-wa-nidhamu-wamponza-miss-tanzania-rose-manfere/ […]

  2. ufabtb

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/utovu-wa-nidhamu-wamponza-miss-tanzania-rose-manfere/ […]

Comments are closed.