SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VAA KIAFRIKA KUTOKA KWA RAPPER STELLA MWANGI
Habari

VAA KIAFRIKA KUTOKA KWA RAPPER STELLA MWANGI 

Rapper wa kike Stella Mwangi A.K.A STL alietamba na vibao kama lookie lookie na Haba Haba, amekuja na clothing line yake iitwayo vaa ki africa, Pre production designs zime fanyika Oslo, Nchini Norway, na sample zilizo tumika zime toka Gambia na Kenya, Stella ana taka kuunganisha ma Taifa haya mawili kwa kutumia fabrics kutoka Nchi zote mbili kutengenezea nguo zake na zina patikana kwa wote wanaume na wanawake.

VaaKiAfrica_by_Stella_mwangi

VaaKiAfrica_by_Stella_mwangi_STL

VaaKiAfrica_by_Stella_mwangi_STL- VaaKiAfrica_by_Stella_mwangi_STL

VaaKiAfrica_by_Stella_mwangi_STLmusic

VaaKiAfrica_by_Stella_mwangi_STL-styleyetu

VaaKiAfrica_clothing_by_Stella_mwangi_STL

vaaki-afrika-webshop

 

Related posts