Vanessa Mdee is a switcher linapo kuja swala la nywele ana weza kubadilika in a second ni mtu ambae huwezi kusema hawezi ku dare hiki katika nywele tunadhani mpaka sasa amesha weka nywele za rangi nusu ya zilizopo katika list ya rangi za nywele katika planet ukiongelea blonde amesha wahi, ombre ameshawahi, gray, box braids, etc Vanessa is a hair monger na safari hii ana new hair style ambayo ni weaving (of course) ya rangi ya ginger ambayo ime mpendeza mno we love this color on her

the hair color is dope

Je mmepend hair style au lah?

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamg

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments