Imekua muda mrefu sasa video queen wa Tanzania walikua wakilalamika kwamba wasanii wa muziki Tanzania hawawapi kazi katika video zao, tumeona wasanii wame sikia kilio chao na wame anza kuwa shirikisha lakini tatizo ni kwamba video queen hawa hawa huvai uhalisia pia hawako vizuri katika mavazi.
Kama kuna video mbili ambazo zime toka kwa sasa na zina fanya vizuri, video kutoka kwa msanii Darasa ina itwa too much na nyingine kutoka kwa Dully Sykes na Harmonize inaitwa INDE. Nyimbo hizi zote mbili zina fanya vizuri na zote wame tumia video queen kutoka Tanzania. Lakini ukiangalia Video Queen wa umo wapo wapo tu na mavazi yao ni yale yale tuliyo yazoea
Amber Lulu ame vaa outfit ile ile moja yaani crop top, bandage skirt na heels, Tofauti ni rangi tu ya vivazi hivi lakini kwetu sisi tunaona ni same outfit. Tunadhani ange weza kuvaa hata a dress for a change, hot pant au chochote lakini sio kurudia idea moja ya outfit katika video mbili tofauti.
Inde ya dully sykes
Too Much Darasa
Gigy ana pensi yake nyekundu ambayo tumeiona mara nyingi aki ivaa huko mitandaoni lakini akaja kuivaa pia kwenye video, tuna dhani kama ni kazi yako basi una hitaji kuiheshimu si kwako tu hata kwa yule aliye kushirikisha. Kuwa wa tofauti tupe kitu ambacho kita tushangaza. tupe muonekano mpya ambao hatuja uzoea.
Nunueni mavazi au ingieni ubia na maduka ya mavazi ili wawe wanawapa mavazi mfanyie kazi huku nyie mkiwatangazia biashara au mkiona mna wafaidisha basi nunueni ya kwenu, hatuwezi kuwa tunaona kitu kile kile kila siku, kuwa wa tofauti hiko ndicho kina fanya baadhi ya video queen huko kwa wenzetu wa dumu.
Pia inabidi muuvae uhusika video queen upo pale kupendezesha video wewe na mbwembwe zako ndizo zitakazo uza video, video queen si kukata viuno tu kuna mambo mengi ya kufanya jifunzeni kucheza, kuwa na hisia then jiachie be free, nadhani hivi vichache ndo husababisha wasanii wetu watoke Tanzania kwenda nchi nyingine kutafuta video queens.
Unaweza kuangalia video zote mbili hapo chini na kutupa maoni yako
Related posts
11 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 84471 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 54864 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/habari/video-queen-tanzania-mna-hitaji-ku-stepup-your-game/ […]