SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wabunifu Na Tamaa Ya Kuwavalisha Wanaume Nguo Za Kike
Habari

Wabunifu Na Tamaa Ya Kuwavalisha Wanaume Nguo Za Kike 

Hata miezi haijapita toka wabuni rompers kwa ajili ya wanaume sasa mbunifu Thom Browne amekuja na collection yake inayoitwa Gender Neutral Spring/ Summer 2018 (yaani ni kwamba hizi nguo zinaweza kuvaliwa na jinsia zote ya kike na kiume) , katika hii collection wanaume wamevalishwa dress shirts, tunics, maxi dresses na skirts zikiwa zime maliziwa na pointed heels ambazo ukiziangalia muonekano wake wa mbele ni kama kiatu cha mwanaume.

Kuvaa nguo za kike sio concept mpya kwa wenzetu wa western lakini kupanda nayo jukwaani na collection kuitwa neutral ni kitu kipya kwetu kwamba mwanamke na mwanaume wote wanaweza kuvaa kweli “haki sawa kwa wote”. Tunataka kujua maoni yako je hii iko sawa au tunavuka mipaka?

 

Related posts

5 Comments

 1. this post

  … [Trackback]

  […] Here you will find 52249 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-na-tamaa-ya-kuwavalisha-wanaume-nguo-za-kike/ […]

 2. Free Adult Beach Cams

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-na-tamaa-ya-kuwavalisha-wanaume-nguo-za-kike/ […]

 3. mushroom chocolate bars Oregon

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-na-tamaa-ya-kuwavalisha-wanaume-nguo-za-kike/ […]

 4. comprar opiniones google

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-na-tamaa-ya-kuwavalisha-wanaume-nguo-za-kike/ […]

 5. Malabar Mushroom Strain

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/wabunifu-na-tamaa-ya-kuwavalisha-wanaume-nguo-za-kike/ […]

Leave a Reply